Yeshua's Disciple - Swahili version (paperback + plus digital download)

House of Israel - UK

"Zaidi ya miaka elfu mbili iliyopita Yeshua Masihi (Yesu) aliwatuma wanafunzi wake kuhubiri ‘‘habari njema’’ kwa mataifa, ujumbe waliopewa ni kuhusu toba, imani, na kushika amri za Baba yake. Kwa hiyo basi ni kwa namna gani injili ile waliyokabidhiwa zamani ilifanyika dini, utamaduni na kukosa kushika amri kama tunavyoona leo? Watu wanawezaje kumfuata Mwokozi ambaye hayupo kwenye Maandiko, na huku wakimpuuza Yeye aliyepo kwenye Maandiko? Kuna kuchanganyikiwa kwingi duniani kuhusu Biblia na nini maana ya kuwa mwanafunzi wa Yeshua (Yesu). Chunguza maisha ya Masihi na wanafunzi wake na ujifunze kuyafuata Maandiko namna inavyostahili kuyasoma, kuyafundisha na kuyaishi. Masihi siyo mtu aliyewaambia watu waamini bila ya kutenda. Alikuwa mtu wa matendo aliyedhihirisha tunavyopaswa kutii amri za Baba, kuamini katika dhabihu yake kwa dhambi zote, na kuwadhihirishia ulimwengu, ujumbe wa toba unaookoa. Alifundisha ubatizo na ondoleo la dhambi na akamtuma Roho Mtakatifu kwa ajili ya waamini wa leo. Jifunze ubatizo ni nini hasa, kuwa mwananfunzi wa Yeshua(Yesu) maana yake ni nini, na kutazama miujiza, ishara na maajabu yanayodhihirishwa na Roho Mtakatifu kama ilivyokuwa miaka mingi iliyopita. Wokovu ni halisi. Uanafunzi ni ufunguo. Anza safari yako pamoja na Mungu aishiye kwa njia ya Mwana wake Yeshua(Yesu) kwa mafundisho haya mapya yaliyojaa mafunuo kutoka kwa Marcus Da Costa."

What does it mean to be Yeshua's Disciple? Over two thousand years ago when Yeshua Messiah (Jesus) sent out twelve disciples to preach the "good news" to the nations, the message they were given was about repentance, belief, and keeping his Father's commandments. So how did the gospel of old become the religions, traditions and lawlessness we see today? How can people follow a Savior who isn't in the Scriptures, yet ignore the One who is? There is much confusion in the world concerning the Bible and what it means to be a disciple of Yeshua. Explore the life of Messiah and his disciples as you learn to navigate Scripture in the way it was meant to be read, taught and lived. Messiah wasn't someone who told people to believe without doing. He was a man of action who demonstrated how we must obey the commandments of the Father, believe in his sacrifice for all sins, and demonstrate to the world, the saving message of repentance. He taught baptism for the remittance of sins and sent the Holy Spirit for today's believers. Learn what baptism really is, what it means to be Yeshua's Disciple, and watch the miracles, signs and wonders manifest by the power of the Holy Spirit just as they did so long ago. Salvation is real. Discipleship is key. Begin your walk with the living Elohim through his Son Yeshua with this insightful new teaching from Marcus Da Costa.


Collections: Books

Category: Swahili, yeshua, yeshua's disciple

Type: Book


Related Items